Saturday 4th, February 2023
@Barabara ya Kilwa, Mtoni kwa Aziz Ally Jijini Dar es Salaam
Mamlaka ya maendeleo ya biashara Tanzania (TANTRADE) inapenda kuwakaribisha Watanzania wote, wafanyabiashara na makampuni kutazanga biashara zao katika maonesho ya Biashara ya kimataifa yanayotarajia kuanza tarehe 28 Juni, 2017 na kumalizika tarehe 8 Julai, 2017.
Hakimiliki ©2022 Habari MAELEZO