Ufunguzi wa Daraja la John Pombe Magufuli (Kigongo-Busisi), jijini Mwanza - Juni 19, 2025
Posted on: June 19th, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Daraja la John Pombe Magufuli (Kigongo-Busisi), Jijini Mwanza, tarehe 19 Juni, 2025