Tuesday 13th, May 2025
@Dar es Salaam
Tarehe 14 Oktoba, 2017 Mwenge wa Uhuru unatarajia kuzimwa Zanzibar. Watanzaniia Mabibi na Mabwana wote mnakaribishwa kuhudhuria sherehe hizo za maadhimisho hayo, ambazo kwa mwaka huu zimebeba kauli mbiu ya mwaka huu ni SHIRIKI KUKUZA UCHUMI WA VIWANDA KWA MAENDELEO YA NCHI YETU".
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO