Saturday 4th, February 2023
@Kijiji cha Chongoleani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni wataweka jiwe la msingi la mradi wa kusafirisha mafuta ghafi kutoka Hoima Nchini Uganda hadi bandari ya Tanga Nchini Tanzania
Hakimiliki ©2022 Habari MAELEZO