Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea taarifa ya Tume ya kuangalia jinsi ya kuimarisha Taasisi za Haki Jinai hapa Tanzania kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Chande Othman kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 15 Julai, 2023
Hakimiliki ©2023 Habari - MAELEZO