Tunakukaribisha kwenye tovuti rasmi ya Msemaji Mkuu wa Serikali upate taarifa na habari sahihi zenye kuakisi malengo ya Serikali, Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 na matarajio ya Watanzania.
Takwimu zaidi >>
HUDUMA ZETU
Idara ya Habari-MAELEZO ina jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, mipango na Miradi ya maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya sera na sheria za habari.
Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Bw. Gerson Msigwa
Msemaji Mkuu wa Serikali
KARIBU
Kwa heshima na fahari ya Taifa letu, tunakukaribisha kwenye Tovuti Rasmi ya Msemaji Mkuu wa Serikali upate taarifa na habari sahihi zenye kuakisi malengo ya Serikali, Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 na matarajio ya Watanzania. Ni wajibu wa Idara yetu kuweka mazingira wezeshi ya utoaji taarifa kwa umma, hivyo tunawahakikishia Watanzania kuwa watapata taarifa sahihi na kwa wakati kuhusu utekelezaji wa Sera, Sheria, Mipango, Programu na Miradi ya Maendeleo inayolenga kuleta ustawi wa wananchi na Taifa kwa ujumla.
KALENDA YA MATUKIO
Hii ni ratiba ya matukio yote, kwa mwaka mzima Serikalini. Usiache kufuatilia ukurasa huu. Bofya 'Soma zaidi" ili kupata ratiba kamili.
TIMU YETU
MAELEZO PODCASTS
Sikiliza MAELEZO PODCASTS, Podcasts za Kiswahili kutoka Idara ya Habari MAELEZO, Tanzania kupata taarifa na matukio mbalimbali nchini Tanzania. Tunapatikana katika mitandao ya kijamii na chaneli mbalimbali ikiwemo Spotify, Apple Podcasts, Amazon music, Audiomack, SoundCloud, Castbox n.k. Usiache kufuatilia!

Sikiliza MAELEZO PODCASTS. Podcasts za Kiswahili kutoka Idara ya Habari MAELEZO, Tanzania
Hospitali ya Benjamin Mkapa ni hospitali ya rufaa ya kanda iliyopo jijini Dodoma, iliyoanzishwa kwa lengo la kutoa huduma za kibingwa ambazo kwa sasa zipo 20 na ubingwa bobezi zipo 17 kwa wananchi wa Tanzania na nchi jirani. Tangu kuanza kutoa huduma zake, hospitali hiyo imeendelea kukua kwa kasi na kuwa miongoni mwa vituo vinavyoongoza nchini katika huduma za matibabu ya moyo, figo, saratani, upasuaji mkubwa pamoja na huduma za kisasa za uchujaji damu na upandikizaji wa figo. Aidha, hospitali imejizatiti katika kukuza utalii wa matibabu na mafunzo ya kitaalamu, huku ikitoa huduma kwa mamilioni ya wananchi kila mwaka.Â
Idara ya Habari MAELEZOÂ

Blogu
BARUA PEPE